Harmonize atoa baiskeli/Viti 26 kwa walemavu, pesa ndogo ndogo za mitaji, chakula na mengineyo. Hongera Harmonize kutoa ni moyo si utajiri
.
Star huyo wa Kwangaru anaaminika na yeye aliwahi kuishi maisha ya kupigika kariakoo kwa kufanya umachinga ikiwemo kuuza maji Kama vijana wengine kabla Ya kujitumbukiza kwenye Sanaa na kufanikiwa ambapo kwasasa anajenga ghorofa
.
Kwa upande mwingine Harmonize ametoa ujumbe wa mwaka mpya kushukuru wote wanaomsapoti kazi zake wakiwemo mashabiki, media na bloggers

Comments
Post a Comment