CHELSEA YATANGAZA KUMSIGN HIGUAIN KWA MKOPO

DONE DEAL: Chelsea imetangaza usiku huu kukamilisha usajili wa Gonzalo Higuan wa mkopo wa miezi sita hadi mwisho wa msimu akitokea Juventus ya Italia

Comments