HATIMAYE MOO APATIKANA

Hatimaye Billionea Mohamed Dewji Amepatikana akiwa hai na mwenye Afya nzuri. Lakini Pia gari lililotumika kumteka limepatikana likiwa limetelekezwa karibu na Ikulu ya Jijini Dar es salaam

 toa maoni yako.

Comments