KUPATWA KWA MWEZI KWA MUDA MREFU KATIKA KARNE YA 21

Kupatwa kwa mwezi kutafanyika tarehe 27 Julai 2018 na kutakuwa sio kwa kawaidaTukio, hilo litakuwa la muda mrefu zaidi katika karne ya 21, kulingana na shirika la usimamizi wa anga za juu(NASA). Na iwapo una bahati utafanikiwa kuona tukio hilo kwa saa moja na dakika 43.

TOA MAONI YAKO

Comments