Uvaaji wa cheni au
shanga kiononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana
na wanawake hasa wa pwani tangu miongo mingi iliyopita na kutokana na
mabadiliko ya ya kiutamaduni na kuenea kwa utandawazi wanawake wengi wamekuwa
wakivaa shanga au cheni kiunoni kama fasheni tu au urembo pasipo kujua
matumizi, Loo!
Vile vile kwa upande
wa wanaume nao wamekuwa sio wataalamu katika kuzitumia shanga/cheni hizi ziwapo
kiunoni mwa wapenzi wao na hivyo kupunguza ari ya wao kufaidi tendo lenye raha
kuliko matendo yote,namaanisha kutiana.
Zifuatazo ni baadhi tu
ya namna ambavyo shanga au cheni za kiunoni huweza kuleta kizaa zaa kwa
mwanaume na hata mwanamke mwenyewe na kumfanya asisimke kimahaba jambo linalotia
ashki sana pale mnapojiandaa kula lile tunda taam ambalo hata chokleti
haifikii.
*Kitendo cha mkaka
kuona cheni/shanga kadhaa zimetokeza tu kiunoni mwa mdada mrembo ambaye
anavutia na kujitunza basi ni mistake tosha mkaka huyo amefanya kwa kuchungulia
chungulia kwenye viuno vya watu wenye taaluma zao.
Cheni/shanga hizi
huleta muonekano mzuri sana pale zinapokuwa zimefanya mizunguko kadhaa kiunoni
mwa mdada ambaye anajithamini na kujijali hivyo mwanamume aliyetimia lazima
asisimke na kujawa na hisia za matamanio ya hali ya juu kwa kuona shanga/cheni
hizo na kama kwa bahati nzuri mdada ukamfuma mkaka huyo akiangalia kiunoni hapo
utamuana jinsi alivyozuzuka na macho ya uchu yamemtoka kwa kuona vifaa nyeti
vya kumkolezea mwanaume chumbani.
*Cheni/shanga hizi hutumika kuchezewa kwa ustadi na wanaume waliobobea katika haya majamboz hasa pale wanapotumia ndimi zao kuzungusha kiunoni mwa wapenzi wao huku shanga/cheni hiyo ikiwa mdomoni na ulimi ukitumika ipasavyo katika kugusa na kutekenya ngozi ya mpenzwake na mazingira yote ya jirani ilipopita shanga hizo kama vile kwenye kinena,na hata kumani. Mtekenyo huu ukifanywa kwa ustadi hakika mwanamke hujihisi burudani sana kifaa chake hicho cha kiunoni kilivyopata mtumiaji.
*Cheni/shanga hizi hutumika kuchezewa kwa ustadi na wanaume waliobobea katika haya majamboz hasa pale wanapotumia ndimi zao kuzungusha kiunoni mwa wapenzi wao huku shanga/cheni hiyo ikiwa mdomoni na ulimi ukitumika ipasavyo katika kugusa na kutekenya ngozi ya mpenzwake na mazingira yote ya jirani ilipopita shanga hizo kama vile kwenye kinena,na hata kumani. Mtekenyo huu ukifanywa kwa ustadi hakika mwanamke hujihisi burudani sana kifaa chake hicho cha kiunoni kilivyopata mtumiaji.
*Shanga/cheni hutumika
katika kuamsha uume pale unapoonekana kuanza kulala. Kwa kutumia cheni wanawake
wataalam huchukua uume wa mpenz wake na kuupenyeza au kuuviringisha juu ya
shanga/cheni hiyo mithili ya mtu anayesukuma chapatti hivyo hufanya uume wa mtu
wake kupata nguvu na amsha amsha ndani ya muda mfupi na hivyo iwapo tayari
imesimama huingizwa taratibu kumani tayari kufanya shughuli yake ya kukuna
sehemu husika mpaka pale mwanamke anapokiri kweli hakuna raha kama kutiwa pale
unapompata mtiaji
NINI KAZI YA 'SHANGA ZA
KIUNONI' KITANDANI NA NINI MAANA YA RANGI ZAKE.
,naomba tuongelee
rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga.
Najua wengi mtakuwa
mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa amawanaopenda kuvaa
lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.
Wanaume wengi
wanaopenda wanawakewao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu
zinamaanisha nini?. ...Karibu tujifunze pamoja.
Katika swala la mahaba
shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa
kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka . Jana niliguswa sana na
simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne
wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
".........Nilikutana
na boyfiriend wangu maeneo ya Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa
tunacheza madensi, halafublues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko
walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza
Blues.
Miili yetu iligusana
na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana.
Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu.
Alivyogusa shanga
zangu akawa kama mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa
nguvu, niligundua kuwa ham yake ilikuwa juu....."
Naamini utakuwa
umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada
yetu.
Kuna wengine
wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa
sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
RANGI ZENYE MAANA PINDI
UWAPO KITANDANI NA MPENZI WAKO
Nyekundu :
ukimkuta mwanamke
amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye
hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe
amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu
ambacho kiafya akishauriwi).
Nyeupe:
ukimkuta mwanamke
amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe
raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.
Nyeusi:
ukimkuta mwanamke
amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita
kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo ni lako kama
unataka kutumia siku nzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia
majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.
karibu kujifunza zaidi
Comments
Post a Comment